Friday, August 2, 2013

IRENE UWOYA TV SHOW COMMING SOON...!



Msanii wa bongo movie maarufu kama oprah, nayeye anaanzisha tv show yake ambayo itakuwa inarushwa kupitia clouds tv,,, yeye atakuwa anadeal na maswala ya nyumba na kukarabati nyumba zilizo mbovu,,, chek hiyo video akielezea kiufupi....

No comments:

Post a Comment