text za vichekesho

hetani alimuuliza YESU:
Ni kitu gani kimekupa ujasiri hata utamke UMATI wako wote utaingia PEPONI? YESU: Sababu nimewaachia vitu viwili muhimu katika maisha yao, BIBLIA na IBADA. Shetani: Aaah wapi!! wewe ulipoondoka DUNIANI tu mimi nikawaletea vitu vi3,
SIMU, TV na MPIRA! Muda wote wapo bize na simu BIBLIA hawana mpango
nayo kabisa. Kama huyu anayesoma sms hii tokea asubuhi hajasoma BIBLIA
hata sura 1!Mpaka analala Je ni UONGO?Da HAYA LALA SALAMA NIMEKUMBUKA KUKUOMBEA NA WEWE .


Mwalimu aliandika sentensi ubaoni
"Niliua mtu" Badili sentensi hii kwa wakati ujao,
Mwanafunzi akajibu wakati ujao "Utakwenda jela,

No comments:

Post a Comment