HUYU NDIO MTOTO WA MICHAEL JACKSON ALIEJARIBU KUJIUA
MTOTO wa Michael Jackson, Paris, mwenye unmri wa miaka 15, amelazwa katika hospitali moja mjini Carlifornia baada ya kujaribu kujiua. Chanzo halisi hakijajulikana hadi sasa lakin inasemekana binti huyu ameonekana akiwa na hali ya kuwa na mawazo kwa muda mrefu. Taarifa kutoka hosptital aliyolazwa zinasema anaendelea vizuri na matibabu.
Paris Jackson
No comments:
Post a Comment