Sunday, July 7, 2013

BEYONCE APATA MAMA WA KAMBO, BAADA YA BABA YAKE KUOA TENA!! CHEKI STORY KAMILI HAPA!!!!

Baba yake beyonce na mkewe mpya (Gena Avery)
 Gena Charmaine Aver

Beyonce amepata mama wa kambo baada ya baba yake kuoa wiki iliyopita, muwakilishi wake alieleza vyombo vya habari kua amemuoa alie wahi kuwa model akifaamika kwa jina la Gena Charmaine Avery pande za Houston, Texas. Avery mwenye umri wa miaka 48 amekua katika uchumba na Mathew Knowles (61) zaidi ya mwaka mmoja na nusu hadi walipoamua kufunga ndoa.
Baba yake beyonce (Mathew) na mama yake (Tina) waliachana kwa kupeana talaka mwaka 2009, huku wakiwa katika ndoa miaka 29 na walikua na watoto wawili ambaye ni beyonce na dada yake ambaye pia ni mwanamuziki.

No comments:

Post a Comment