Leo nawaletea kile kilichohappen kwenye mtandao wa kijamii wa instagram kama ulipitwa kamata hii hapa, ni ndani ya wiki hii ambapo msanii wa nigeria anaehit na single yake ya DURO aitwae Tekno alipokuja Tanzania na kumake headlines baada ya mwanadada mrembo Gigymoney kuweka picha akiwa na Tekno chumbani na kuweka caption yenye utata ambayo wabongo wakatafsiri vile wawezavyo, yan ilikua inaonesha kuwa tekno ali do shit na gigymoney...
baada ya muda tekno akapost picha na kuweka caption ya kiswahili jionee mwenyewe hapa chini
unaweza jiuliza maswali kuwa tekno kajulia wapi kiswahili, lakin ndio hvyo iyo post aliiweka yeye. mimi na ww hatujui nani alihusika kuandika
gigy akajibu kama ifuatavyo
hahahaha
No comments:
Post a Comment