Kajala katika pozi
hapa akimwagiwa maji siku ya birthday yake
Kajala Masanja ndio jina lake halisi, alizaliwa miaka kadhaa iliyopita tarehe 22 mwezi wa 7, hvyo jana alikua akihadhimisha siku yake ya kuzaliwa, kajala alipata salamu nyingi sana kutoka kwa rafiki zake wa karibu akiwemo wema sepetu.
Kupitia mitandao ya kijamii lulu michael ameandika "Ur lyk a sister, afriend n a person dat I will never
4get…we shared some gud moments together but also we shared bad moments
together….!!i wish u cud see wen am writing dic…am jus crying here….MAY GOD
BLESS YOU MAH…jus enjoy ur day!!!HAPPY BIRTHDAY TO YOU My dada,my friend,my cha
kulialia,nyapara wangu,mjelajela mwanzangu…mhh!!!i thnk I dnt have to go back
dea…Have a gud one….!!!
No comments:
Post a Comment