Friday, July 5, 2013

COVER YA ALUBUM MPYA YA JAY Z YAONEKANA, ZINAONESHA WAZI U_FREE MASON...

Cover ya ablum ya jay z imeonekana nje kidogo ya London ambapo inapatikana The Salisbury Cathedral (kanisa) karibu na moja kati ya aina halisi nne za Margina Carta zilizopo kuanzia mwaka 1215. 
Album mpya ya jay z Magna Carta... Holy Grail inapatikana kuanzia kwa sasa kwa watumiaji wa SAMSUNG ambao wamedownload magnacarta application. 
Album itakua hewani kuanzia tarehe 9 july dunia nzima.







Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonekana katika kanisa hilo, na kwamba zimewekwa hapo zikiwa na ishara ya free mason....

No comments:

Post a Comment