Saturday, July 6, 2013

T.I.D AMDISS MSANII WA TANZANIA ATAKEPERFORM KWENYE BBA JUMAPILI HII

Hiyo hapo chini ni tweet ya msanii T I D ikionesha maneno aliyoandika, baada ya kupata habari kuwa msanii kutoka tanzania ambaye anafanya muziki wa hip hop ajulikane kwa jina la WAKAZI, Amabye ameishi nchini marekani kwa zaidi ya miaka 6, na sasa yupo nchini akifanya kazi ya music japo hajapata nafasi ya kusikika kwa sasa, akizungumza na clouds fm amesema tayari ameshafanya collabo na godzilla na wasanii wengine wa kibongo, aliongeza pia anazo mixtape na nyimbo nyingine kali tu ambazo atatumia kuperform.
WAKAZI (PICHA) 

Chini ni maneno alisema T I D

No comments:

Post a Comment