Tanzania wiki hii ipo salama kwasababu hamna mshiriki alie ingia kwenye nomination,hiyo picha hapo juu ni washiriki wa BBA The chase walioingia katika nomination wiki hii, Annabel wa kenya, Selly -Ghana, Natasha Malawi, Polleko - zimbabwe, na Melvin wa Nigeria. kura yako ndio itakayo mfanya mshiriki kuendelea kuwepo kwenye shindano, piga kura mara nringi uwezavyo, unaweza kuvote online kupitia
http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
No comments:
Post a Comment