Friday, August 2, 2013
IRENE UWOYA TV SHOW COMMING SOON...!
Msanii wa bongo movie maarufu kama oprah, nayeye anaanzisha tv show yake ambayo itakuwa inarushwa kupitia clouds tv,,, yeye atakuwa anadeal na maswala ya nyumba na kukarabati nyumba zilizo mbovu,,, chek hiyo video akielezea kiufupi....
SOMA HAPA ALICHO ANDIKA NEY WA MITEGO KUHUSU WIMBO MPYA WA OMMY DIMPOZ - TUPOGO ft J martins
katika jii picha kwachini kuna maneno yapo, ambayo ney wa mitengo aliandika kuhusiana na wimbo wa ommy dimpoz kupitia instagram
Subscribe to:
Posts (Atom)