Friday, June 7, 2013

KHADIJA KOPA NA MAREHEMU MUWEME

Mume wa kahdija kopa afariki dunia juzi usiku,alikua anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upuaji.... Amefariki hospitali ya lugalo ambapo alikua amelazwa. #RIP Jaffari Ally

No comments:

Post a Comment