Baada ya hii ya leo next time utakuwa na adabu kujibishana na mimi..Ama kitachofuata ni zile boooooo km alizopigwa Boss wako RG
— Lady JayDee (@JideJaydee) June 9, 2013
Hivi ule wimbo wa @nikkizohan sijui niununue ule alioimba Ney niugeuze uwe MwanaFAtuma sheeee
— Lady JayDee (@JideJaydee) June 9, 2013
Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress
— Lady JayDee (@JideJaydee) June 9, 2013
No comments:
Post a Comment