Monday, June 10, 2013

BREAKING.!!! Msanii wa bongo movie (KASHI) afariki dunia

Hili ni pigo lingine kwa wasanii wetu hapa nchini.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kash (Jaji Khadija) amefariki dunia katika hopsital ya mushilmbili ambapo alikua amelazwa. Kash amewahi kutamba sana katika Michezo ya kuigiza kipindi cha nyuma kidogo iliyokua ikirushwa ITV, hadi mauti yana mkuta amekua akijuhusisha na shughuli za kuigiza. Moja ya Igizo alilowahi kucheza ni Tamu Chungu.
#MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN..!!

No comments:

Post a Comment