Friday, June 7, 2013

DRAKE BOSS WA YMCMB,,, HII NDIO $2M BUGATT ANAYOMILIKI KWA SASAI!!

Iko wazi sasa Drake ndio BOSS wa YMCMB...! Na kuthibitisha hilo Bird man amemnunulia rasmi drake gari la kampuni ya YMCMB. Kama ilivyo kwa makampuni mengine, unapo pandishwa cheo unapewa na gari ya kampuni, na ndivyo ilivyo kwa YMCMB.

Drake kwa sasa sio msanii tu, katika label lakin pia ni BOSS, na kutambulisha cheo chake Birdman na em wampatia drizzy gari lake binfsi katka kampuni....Gari aina ya BUGATI na thamani yake ni $2M...

No comments:

Post a Comment