Friday, June 7, 2013

MWANA FA,: Asilima 15 ya mapato ya show nitampa Mama yake Ngwea

Ile show ya mwana fa ambayo ilitakiwa kufanyika tarehe 31 may, na ikahairishwa kupisha msiba wa ngwea itafanyika hivi karibuni na mapato yatakayo patikana 15% atapewa mama yake ngwea....!!

"Nimesema kwamba nitoe hela mfukoni kwangu moja kwa moja, niipeleke huku, kwahiyo chochote nitakacho kipata, nataka kutoa 15 percent nimpelekee bi mkubwa...."Alisema Mwana Fa

1 comment: