Sunday, June 9, 2013

FEZA KESSY APONONEA CHUPUCHUPU KUTOKA BIG BROTHER LEO!


Mshiriki wa Big Brother Africa THE CHASE, kutoka Tanzania FEZA KESSY amenusurika kutoka baada ya kuchaguliwa kuingia katika danger zone, kwa kupigiwa kura.
Washiriki wengine walioingia katika danger zone ni LK4 wa Uganda, Dillish wa Namibia
Koketso wa South Africa, Hakeem wa Zimbabwe.

Kunusurika kwa FEZA, kumefanya washiki kutoka South Africa na Uganda Kuaga shindano hilo kwa kupata kura chache LK4 11.37% ,Dillish 21.95% ,Koketso 20.51% ,Feza 21.74% ,Hakeem 24.43%
Total Votes: 4573....

No comments:

Post a Comment