Nelson Mandela amefikishwa hospitali akiwa anaumwa sana.
Afya ya nelson mandela imekua ikimsumbua mara kwa mara na inasababishwa kupelekwa hospitali
nchini africa kusini kwa tatizo la mapafu.
Msemaji wa raisi amesema " anaumwa sana lakin anaendelea vizuri" kwasababu anaweza kupumua mwenyewe bila kutumia mashine na hiyo ni ishara nzuri.
Mr Mandela, sasa ana miaka 94.
No comments:
Post a Comment