Mechi ya taifa stars vs moroco imeisha kwa matokeo ya moroco 2-1 Taifa stars. hivyo bas ile ndoto ta taifa stars kusonga mbele ili kufuzu kutinga kombe la dunia mwaka 2014 inazidi kufifia. Matokeo hayo yanaiweka taifa stars nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 6 nyuma ya Ivory Coast wanaongoza kwa pointi 10 huku kumebakiwa na michezo miwili miwili katika kundi A linalojumuisha pia timu ya Gambia.
Taifa stars imebakiwa na mechi mbili, moja ni dhidi ya Ivory coast itakayo chezwa Nyumbani, uwanja wa taifa na dhidi ya Gambia itachezwa ugenini.
No comments:
Post a Comment