Monday, July 22, 2013

COMMING SOON.... FROM ClemoBlog

Wapenzi wa blog yetu soon tutawaletea vitu vipya kabisa, zikiwemo stori mbali mbali za kusisimua ambazo utaweza kuzisoma na kuburdika pia kuelimika, pia tunawaletea msaada wa kutumia baadhi ya program kwenye computer, kutakuwa na video ambazo zimerekodiwa na kuelekeza jinsi ya kutumia program hizo. Hii ni kuhakikisa unapata mambo mazuri kutoka kwetu, endelea kutembelea blog hii. ASANTE.....

Birthday ya Kajala,,,HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA MSANII LULU KWA KAJALA.

 Kajala katika pozi
hapa akimwagiwa maji siku ya birthday yake

Kajala Masanja ndio jina lake halisi, alizaliwa miaka kadhaa iliyopita tarehe 22 mwezi wa 7, hvyo jana alikua akihadhimisha siku yake ya kuzaliwa, kajala alipata salamu nyingi sana kutoka kwa rafiki zake wa karibu akiwemo wema sepetu.
Kupitia mitandao ya kijamii lulu michael ameandika "Ur lyk a sister, afriend n a person dat I will never 4get…we shared some gud moments together but also we shared bad moments together….!!i wish u cud see wen am writing dic…am jus crying here….MAY GOD BLESS YOU MAH…jus enjoy ur day!!!HAPPY BIRTHDAY TO YOU My dada,my friend,my cha kulialia,nyapara wangu,mjelajela mwanzangu…mhh!!!i thnk I dnt have to go back dea…Have a gud one….!!!


Saturday, July 20, 2013

MTOTO WA LIL WYNE (Reginae Carter) AMEKUA SASA...! CHEKI PICHA ZAKE, NA ALICHOSEMA BABA YAKE!!



Huyu ni Reginae Carter, ambaye ni mtoto wa lil wyne sasa ana miaka 15. Bila shaka kwa uzuri alionao ni tatizo kwa baba yake.
Lil wyne ametoa onyo kwa vijana wote, wawe makini.

Friday, July 12, 2013

NEW VIDEO: IZZO B FT SHAA & BARNABA - LOVE ME

DIVA KUFANYA COLLABO NA PREZO



 Diva akiwa studio
Diva akiwa na prezo

Diva ambaye ni mtangazaji wa clouds fm, ambaye pia inasemekana anamahusiano na jamaa kutoka kenya maarufu kama prezo, juzi kati wameingia studio kufanya ngoma moja ambayo itakuwa single ya 3 ya mwanadashosti diva, ngoma hiyo imepewa jina la JICHO LA HUPA, inafanyika studio kwa lamar, ndani ya hiyo ngoma pia yumo sterio. Coming soon

EXCLUSIVE: VIDEO YA IZO BIZNESS - LOVE ME FT BARNABA & SHAA

Kwa mara ya kwanza video ya izo bizness aliyomshirkisha shaa pamoja na barnaba itaoneshwa kwa mara ya kwanza kupitia television ya eatv na clouds tv leo mida ya saa nne kwenye vipindi vya FNL na The weekend chat show. so kaa mkao wa kula kuiona hii bonge la video, pia itakuwa hewan kupitia youtube mida hiyohiyo ya saa nne usiku wa leo!
unaweza pia kuangalia hapahapa utakapofika huo muda.

Tuesday, July 9, 2013

WALIO INGIA KWENYE NOMINATION WIKI HII BBA The Chase: Watanzania wapo salama

Tanzania wiki hii ipo salama kwasababu hamna mshiriki alie ingia kwenye nomination,hiyo picha hapo juu ni washiriki wa BBA The chase walioingia katika nomination wiki hii, Annabel wa kenya, Selly -Ghana, Natasha Malawi, Polleko - zimbabwe, na Melvin wa Nigeria. kura yako ndio itakayo mfanya mshiriki kuendelea kuwepo kwenye shindano, piga kura mara nringi uwezavyo, unaweza kuvote online kupitia http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/

Sunday, July 7, 2013

ANGALIA VIDEO MSANII WAKAZI TOKA TANZANIA AKIPERFORM KWENYE BBA The Chase

NANDO ANUSURIKA TENA BBA The Chase, CHEKI HAPA KUJUA WALIOTOKA...!!



Nando kwa mara nyingine amefanikiwa kubaki katika shindano la big brother, na hii ilikua mara yake ya pili kuingia katika nomination, washiriki waliotoka ni kutoka nchini Zimbabwe na Malawi picha zao hapo juu....
Kesho tutajua ni kina nai walio ingia tena kwenye nomination, endelea kufatilia bba. thanx Africa kwa kuvote for Nando.

LIKE FATHER LIKE SON, MCHEK DULLY NA BABA YAKE KWENYE PICHA...!!

DULLY NA BABA YAKE

BEYONCE APATA MAMA WA KAMBO, BAADA YA BABA YAKE KUOA TENA!! CHEKI STORY KAMILI HAPA!!!!

Baba yake beyonce na mkewe mpya (Gena Avery)
 Gena Charmaine Aver

Beyonce amepata mama wa kambo baada ya baba yake kuoa wiki iliyopita, muwakilishi wake alieleza vyombo vya habari kua amemuoa alie wahi kuwa model akifaamika kwa jina la Gena Charmaine Avery pande za Houston, Texas. Avery mwenye umri wa miaka 48 amekua katika uchumba na Mathew Knowles (61) zaidi ya mwaka mmoja na nusu hadi walipoamua kufunga ndoa.
Baba yake beyonce (Mathew) na mama yake (Tina) waliachana kwa kupeana talaka mwaka 2009, huku wakiwa katika ndoa miaka 29 na walikua na watoto wawili ambaye ni beyonce na dada yake ambaye pia ni mwanamuziki.

LEO NI BIRTHDAY YA MAMA MZAZI WA DIAMOND PLATINUM, SOMA ALICHO ANDIKA DIAMOND KWA MAMA YAKE HAPA

 Diamond na Mama yake
Hii picha ina maneno aliyoandika diamond

Saturday, July 6, 2013

PICHA: JAY Z NA BEYONCE WAKICHEZA MUZIKI WAKATI WA UZINDUZI WA ALBUM MPYA YA JAY Z "Magna Carta Holy Grail."




WEMA SEPETU KUANZISHA TV SHOW YAKE, CHEKI HII VIDEO AKITAMBULISHA WEMA SEPETU REALITY SHOW

BAADHI YA PICHA ZA VIDEO MPYA YA JUX - UZURI WAKO (COMING SOON)





Hizi ni baadhi ya picha za video ya jux mpya inayoitwa uzuri wako,tayari audio yake ipo hewani na inafanya vizuri katika media hapa nchini. video hii anafanyia nchini China. Kaa tayari the video is coming soon


T.I.D AMDISS MSANII WA TANZANIA ATAKEPERFORM KWENYE BBA JUMAPILI HII

Hiyo hapo chini ni tweet ya msanii T I D ikionesha maneno aliyoandika, baada ya kupata habari kuwa msanii kutoka tanzania ambaye anafanya muziki wa hip hop ajulikane kwa jina la WAKAZI, Amabye ameishi nchini marekani kwa zaidi ya miaka 6, na sasa yupo nchini akifanya kazi ya music japo hajapata nafasi ya kusikika kwa sasa, akizungumza na clouds fm amesema tayari ameshafanya collabo na godzilla na wasanii wengine wa kibongo, aliongeza pia anazo mixtape na nyimbo nyingine kali tu ambazo atatumia kuperform.
WAKAZI (PICHA) 

Chini ni maneno alisema T I D

Friday, July 5, 2013

COVER YA ALUBUM MPYA YA JAY Z YAONEKANA, ZINAONESHA WAZI U_FREE MASON...

Cover ya ablum ya jay z imeonekana nje kidogo ya London ambapo inapatikana The Salisbury Cathedral (kanisa) karibu na moja kati ya aina halisi nne za Margina Carta zilizopo kuanzia mwaka 1215. 
Album mpya ya jay z Magna Carta... Holy Grail inapatikana kuanzia kwa sasa kwa watumiaji wa SAMSUNG ambao wamedownload magnacarta application. 
Album itakua hewani kuanzia tarehe 9 july dunia nzima.







Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonekana katika kanisa hilo, na kwamba zimewekwa hapo zikiwa na ishara ya free mason....

RAY C : Dear past thank you for all lessons,,, SOMA BARUA YAKE KWA MASHABIKI, NA PICHA YAKE ALIVYO SASA!!!

maneno aliyopost kwenye mtandao
barua aliyoandika kwa mashabiki wake
MUONEKANO WAKE KWA SASA

Tuesday, July 2, 2013

NANDO AINGIA KWENYE NOMINATION TENA BIG BROTHER...!


Mshiriki kutoka tanzania Nando ameingia katika hatari ya kutoka wiki hii kama atapigiwa kura chache za kubaki, hii ni mara ya pili kuingia katika nomination... washiriki wengine walioingia kwenye nomination ni Angelo, Hakeem, Cleo, Poleko, Bimp na Fatima.